Thursday, 31 March 2016

POVERTY

Africa and its peoples are still grappling with the challenges of perpetual poverty. As the Director General pointed out in his report, Africa is host to the largest number of working poor in the world. We recognize the positive initiatives that have been taken and those that are underway to deal with the situation. We appreciate the role of the ILO,the UN family in general, and that of the development partners in this regard.Their support and actions give us every reason to be optimistic about securing abrighter future for our children and for future generations of Africa.

Tuesday, 29 March 2016

KILIMO CHA NYANYA NI MWANGA MPYA WA MATUMAINI KWA VIJANA

Mkulima wa Kijiji cha Tanangozi, Iringa vijijini Mgimba, ni miongoni mwa wakulima waliofanikiwa na kuvuna mamilioni ya shilingi kutokana na kilimo cha zao la nyanya.

KLIMO UTI WAMGONGO WA TAIFA



KILIMO ni uti wa mgongo wa taifa. Kauli mbiu hiyo imechangia kuweka mikakati mingi ya kuendeleza kilimo sambamba na kauli mbiu tofauti kama, ‘Siasa ni Kilimo’, ‘Kilimo Kwanza’ na ‘kilimo cha kufa na kupona’. Kwa misingi hiyo, Watanzania hawawezi kukwepa suala la kilimo kwa vile bado ni njia kuu ya kujenga uchumi wa taifa na kuharakisha maendeleo ya mmoja mmoja. Kilimo cha mtu mmoja mmoja vijijini mpaka sasa hakijaleta mafanikio makubwa kutokana na kutumia zana duni ingawa wakulima wachache wamekiri kupata mafanikio. Wakulima wengi wadogo hawajapata mafanikio kwa kuwa Serikali haijaweka mikakati madhubuti ya kulima kisasa na kuwatafutia masoko.

UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI NI ZAIDI YA KUAJIRIWA

ULEAJI BORA WA VIFARANGA
Mambo mengi yanayohusika katika uleaji wa vifaranga kutokana kwamba kuna tofuati kati ya vifaranga wa nyama na wale wa mayai hasa katika chanjo na lishe.


 

Sunday, 27 March 2016

SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE LEARNING ENVIRONMENT- SMC

Sokoine University of Agriculture was established on 1 July 1984 by Parliamentary Act No. 6 of the same year

Monday, 8 February 2016

Watu watatu wamejeruhiwa baada ya Chui kuingia kwenye shule moja huko Bangalore India na kufanya Askari watumie takribani saa 14 kumtafuta Chui huyo aliyekuwa na umri wa miaka sita akitokea kwenye Msitu uliokuwa karibu na shule hiyo.
Katika purukushani za kumuwinda, Askari na watu wengine walifanikiwa kumfungia huyu chui bafuni lakini akafanikiwa kutoroka kupitia dirisha dogo la kuingiza hewa, unaweza kutazama hii video hapa chini ya sehemu ya tukio.
<iframe width="640" height="360" src="https://www.youtube.com/embed/wWC1XhheSb4?feature=player_embedded" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>
Ni siku mbili zimepita toka Alikiba alipoifanya party ya kuitambulisha video yake mpya