Watu
watatu wamejeruhiwa baada ya Chui kuingia kwenye shule moja huko
Bangalore India na kufanya Askari watumie takribani saa 14 kumtafuta
Chui huyo aliyekuwa na umri wa miaka sita akitokea kwenye Msitu uliokuwa
karibu na shule hiyo.
Katika purukushani za kumuwinda, Askari
na watu wengine walifanikiwa kumfungia huyu chui bafuni lakini
akafanikiwa kutoroka kupitia dirisha dogo la kuingiza hewa, unaweza
kutazama hii video hapa chini ya sehemu ya tukio.
<iframe width="640" height="360" src="https://www.youtube.com/embed/wWC1XhheSb4?feature=player_embedded" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>
No comments:
Post a Comment